Suche einschränken:
Zur Kasse

4 Ergebnisse.

Asiyesikia la Mkuu

Juma, Peter
Asiyesikia la Mkuu
John anajipata matatani kwa kutotilia maanani anayoshauriwa na wavyele wake. Kumbe kila hatia ina madhara yake! Soma hadithi hii ya kuvutia uepukane na majuto. Hiki ni kitabu cha kusisimua kusoma.

CHF 27.90

Heri Kujikwaa Mguu

Juma, Peter
Heri Kujikwaa Mguu
Heri Kujikwaa Mguu ni hadithi inayovutia na yenye mafunzo tele. Hadithi hii inaelezwa kwa njia inayovutia na kumtamanisha msomaji. Jiunge naye Babu Maelezo ufurahie kisa chenyewe. Hiki ni kitabu cha kusisimua kusoma

CHF 27.50

Paka na Panya

Juma, Peter / Mwasio, Jacob / Mwasio, Darius
Paka na Panya
Paka na panya walikuwa marafiki. Walifanya kazi yao na kuishi pamoja. Paka alikuwa mkulima hodari. Alinunua shamba kwa mkulima. Alipanda mahindi mengi. Mahindi yalifanya vizuri. Je, ni nani aliharibu mahindi ya paka? Soma ujue urafiki wa paka na panya.

CHF 25.50

Wasifu wa Tama

Juma, Peter
Wasifu wa Tama
Wasifu wa Tama ni hadithi ya kuchangamsha inayomzungumzia kijana wa kike ambaye anakumbana na changamoto nyingi katika maisha yake haswa akiwa masomoni. Licha ya hangamoto hizo, anafanikiwa maishani kutokana na ari yake katika shughuli zake zote. Hadithi hii iliyosheheni mafunzo tutumbi imesimuliwa kwa mtindo rahisi kwa hivyo ni rahisi kuelewa.

CHF 31.90