Suche einschränken:
Zur Kasse

6 Ergebnisse.

Nyumba ya Sungura

Kimunyi, Njiru
Nyumba ya Sungura
Sungura amejenga nyumba maridadi ili aweze kufanya harusi yake humo. Lakini kuna adui aliyekatalia ndani. Anatafuta usaidizi kwa wanyama wenzake lakini wanashindwa kumfukuza. Atafanya nini?

CHF 28.50

Mungu Nisaidie

Kimunyi, Njiru
Mungu Nisaidie
Simba ana njaa kali. Anataka kumfanya Swala kitoweo chake. Wote wanaomba kwan unyenyekevu na uvumilive, "Mungu nisaidie." Ni nani atapata kusaidiwa? Chunguza kujua nini kinatokea kwa Simba, Mungu alimsaidia?

CHF 26.50

Karamu Mbinguni

Kimunyi, Njiru
Karamu Mbinguni
Kutokana na sifa zao njema kwake Mwenyezi Mungu, ndege wamepata mwaliko wa kutalii mbinguni. Wamepewa uwezo wa kuyabadilisha maumbile yao vile wanavyotaka. Katika kufanya hivi, wengine kama Bundi wanaongozwa na nia mbaya. Mzee Kobe naye anadanganya kuwa ukoo wake ulitokana na ndege. Kwa wale wenye nia safi, karamu ya mbinguni inaishia kuwa furaha isiyo kimo. Wenye nia mbaya nao wanaupata mshahara wa vitendo vyao. Chongameno ni kijana mchungaji...

CHF 28.90

Siri ya Sala

Kimunyi, Njiru
Siri ya Sala
Ni wakati wa Mfalme Uju wa nchi ya Lembe kumwoza bintiye Fani. Ushindani wa uchumba ni baina ya Sungura na Kobe. Nani atalishinda pendo lake Fani? Ni mbinu gani atazitumia kufaulu? Chunguza kujua nini kinatokea

CHF 27.90

Mlima Kenya Kajifungua

Kimunyi, Njiru
Mlima Kenya Kajifungua
Habari ziliponea kuwa Bi. Mlima Kenya anakaribia kujifungua, mbiu ilipigwa, na wanakijiji pamoja na wanyamapori wote wakakusanyika kushuhudia tokeo hilo mahsusi. Muda si muda wakati ukawadia, akajifungua. "Je, ni mwana gani huyo aliyezaliwa? Jisomeeni wenyewe hii hadithi ili mpate kutambua. Na zaidi ya hiyo, kunazo vilevile, hadithi nyingine sita: Karamu Ya Kujialika, Fisi tumboni mwa Tembo, Bidii ni Mali, Mama Mja Mzito na Jitu, Nani Mlaji Za...

CHF 30.50

Kiongozi Hodari

Kimunyi, Njiru
Kiongozi Hodari
Mwevure ni mvivu kupindukia, jambo linalomfanya aishi maisha hohehahe. Hata hivyo anaishia kuwa mfalme wa nchi yake. Hili latokea vipi? Hiki ni kitabu cha kusisimua kusoma

CHF 29.90