Suche einschränken:
Zur Kasse

3 Ergebnisse.

Maria na Kim

Nandwa, Rebecca
Maria na Kim
Maria na Kim ni kimoja cha vitabu vya hadithi katika msururu wa Little Birds ECDE ambacho kimeandikwa kuwasaidia watoto kujitambua na kuzitambua hali na mazingira yao. Yaliyomo ni pamoja na jina, jinsia, umri, jamaa, marafiki na majirani, mazingira ya nyumbani na shuleni. Lengo la msururu huu ni kuhimiza usomaji miongoni mwa watoto. Msamiati uliotumiwa kuandika hadithi hizi ni rahisi na wa kawaida. Picha na michoro maridadi na ya kupendeza ...

CHF 16.50

Ngamia Mpole

Nandwa, Rebecca
Ngamia Mpole
Je, umewahi kubebwa na ngamia? Nani alikulipia pesa kwa mwenye ngamia ili akuruhusu ubebwe na ngamia wake? Je, ngamia huyo alikuchokoza? Ngamia ni mnyama mkubwa sana lakini mpole. Yeye hachokozi watu. Hadithi, 'Ngamia Mpole' inawahusu watoto wawili: Bonga na dada yake, Sakina, ambao walibebwa na ngamia wakafurahi sana. Hata hivyo, waliweza kuzungumza na ngamia huyo.

CHF 27.90