Abida Avuka Barabara ni kimoja cha vitabu vya
hadithi katika msururu wa Little Birds ECDE ambayo vimeandikwa
kuwapa watoto maarifa na mbinu za kimaisha
na hasa njia na hatua salama za kuvuka barabara. Pia
michezo iliyo salama.
Lengo la msururu huu ni kuhimiza usomaji miongoni mwa
watoto. Msamiati uliotumiwa kuandika hadithi hizi ni rahisi na
wa kawaida. Picha na michoro maridadi na ya kupendeza
imetumiwa ambayo inaifanya hadithi iwe ya kupendeza na
kufurahisha. Hii itasaidia kuwachochea watoto kujadili
yaliyomo wanaposoma.
Lieferbar
ISBN | 9789966362230 |
---|---|
Sprache | swa |
Cover | Kartonierter Einband (Kt) |
Verlag | For Our Sun Publishing |
Jahr | 201105 |
Dieser Artikel hat noch keine Bewertungen.