Suche einschränken:
Zur Kasse

UWEZO WA MUNGU(Swahili Edition)

Lee, Jaerock

UWEZO WA MUNGU(Swahili Edition)

Kwani mimi binafsi nimepata furaha na raha katika uhuru kutoka kwa miaka saba ya magonjwa na maumivu, ili niwe mtumishi mwenye uwezo anayefanana na Bwana, nilifunga na kuomba kwa siku na nyakati kadha baada ya kuitwa ili niwe mtumishi wa Bwana. Yesu anatuambia katika Marko 9:23, "'Ukiweza?' Yote yawezekana kwake aaminiye." Pia niliamini na kuomba kwa sababu nilishikilia ahadi ya Yesu, "[Yeye] aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya, naam, na kubwa kuliko hizo atafanya, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba" (Yohana 14:12). Kwa kupitia Mikutano ya Uvuvio ya kila mwaka, Mungu ametuonyesha ishara na maajabu ya kushangaza na ametupa uponyaji na majibu yasiyoweza kuhesabika. Zaidi ya hayo, wakati wa wiki ya pili ya Mkutano wa Uvuvio wa mwaka wa 2013, Mungu aliweka msisitizo wa dhihirisho la uwezo wake juu ya vipofu, viwete, viziwi na mabubu.

CHF 19.90

Lieferbar

ISBN 9791126311958
Sprache swa
Cover Kartonierter Einband (Kt)
Verlag Urim Pubn
Jahr 20230921

Kundenbewertungen

Dieser Artikel hat noch keine Bewertungen.