Suche einschränken:
Zur Kasse

4 Ergebnisse.

Abida Avuka Barabara

Ngugi, Pamela
Abida Avuka Barabara
Abida Avuka Barabara ni kimoja cha vitabu vya hadithi katika msururu wa Little Birds ECDE ambayo vimeandikwa kuwapa watoto maarifa na mbinu za kimaisha na hasa njia na hatua salama za kuvuka barabara. Pia michezo iliyo salama. Lengo la msururu huu ni kuhimiza usomaji miongoni mwa watoto. Msamiati uliotumiwa kuandika hadithi hizi ni rahisi na wa kawaida. Picha na michoro maridadi na ya kupendeza imetumiwa ambayo inaifanya hadithi iwe ya kupen...

CHF 29.90

Ujeuri wa Mbwa

Ngugi, Pamela M. Y.
Ujeuri wa Mbwa
Paka na mbwa wana shida nyingi. Hawawezi kunusa chema na kibaya. Hawawezi kuwinda vilivyo. Hawawezi pia kukwea miti kuwatoroka maadui wao. Kinyesi wanatupa popote bila kujali. Ni lazima wafundishwe jinsi ya kuishi vyema. Chifu wa eneo lao amepanga semina kadhaa kujaribu kuwasaidia. Lakini mbwa, baada ya semina ya kwanza, anajifanya mjeuri.

CHF 28.90

Language and Literary Education

Ngugi, Pamela
Language and Literary Education
Language and Literary Education: The State of Children''s Literature in Kiswahili in Kenya, is a useful resource book for teachers, parents, teacher trainees, educators and educational administrators at primary, tertiary and university levels. The purpose of this study was to investigate the state of Children''s literature in Kiswahili in primary schools in Kenya by examining the reading habits of pupils both in school and at home. It highligh...

CHF 102.00

Introducing Children's Literature

Ngugi, Pamela M.
Introducing Children's Literature
Introducing Children's Literature is a book based on a course on Children's Literature at Kenyatta University, Kenya since 2002. In essence, this is a book about Children's Literature. It is designed on a taught course and it is useful for anyone engaged in the formal study of Children's Literature. In 2000's when the course was initially designed and initiated in the university, there were very few resources for those interested in studying C...

CHF 79.00